VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ SIO MTU WA MCHEZO MCHEZO CHEKI ALICHOKIPANGA KUFANYA LEO KWENYE TUZO ZA MTV MAMA 2016

Diamond Platnumz ameamua kushare ujumbe kwa mashabiki zake kwamba kitu ambacho anaenda kukifanya leo sio cha mchezomchezo.
Diamond Platnumz
Leo ndio Leo zile tuzo za MTV Mama 2016 zinazoandaliwa na kituo cha MTV Base Africa zinatarajiwa kutolewa leo Jumamosi tarehe 22 huko Afrika ya kusini Johannesburg, ndani ya tuzo hizo Afrika ya Mashariki tumeingiza wasanii wengi ambao tunatumaini kuwa lazima tutarudi na tuzo nyumbani.

Sasa Good Newz ni kwamba Diamond ameahidi kufanya maajabu makubwa ambayo yatawadhihilishia Ulimwengu kuwa Afrika Mashariki kuna zaidi ya wasanii, ujumbe huo ameuandika katika kurasa yake ya Instagram, ni vitu gani hivyo ambayo Diamond amepanga kudhihilisha? hakuna anayejua.. macho yote yatakuwa Johannesburg kushuhudia wasanii wetu wa Bongo na Afrika mashariki kwa ujumla.

“Tafadhali sana ndugu zangu naomba kesho msikose kutazama tunzo za MTVMAMA…. kijana wenu nimepanga kuwadhihilishia Ulimwengu Kuwa Africa Mashariki kuna zaidi ya Wasanii”.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post