OFFICIAL MUSIC VIDEO || MASANJA MKANDAMIZAJI - MOYO MWEUPE || ITAZAME HAPA
byUnknown-
0
Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi Masanja Mkandamizaji ambaye pia ni muimbaji wa nyimbo za Gospel, ameachia video mpya ya wimbo ambao unaitwa “Moyo Mweupe”, video imeongozwa na Alex Joseck.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...