OFFICIAL AUDIO MUSIC || TEKNO - DIANA || ISIKILIZE NA KUIPAKUA HAPA

Tekno
Wakati number one hit single Pana kutoka msanii Tekno Milles wa Nigeria ikiendelea kufanya vizuri kwenye chart mbalimbali za muziki, Star huyu ameamua kutowapa pumzi mashabiki wake baada ya kuachia single mpya iliyotayarishwa na maproducer wawili.

Mzigo unaitwa Diana umefanywa kwenye studio za Made Men Music Group chini ya Producer Selebobo na Producer aliyeitayarisha hit single ya Pana, KrizBeatz.

Isikilize hapa.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post