Kufuatia kuenea kwa nyaraka inayoonesha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndg Mrisho Gambo ametenguliwa na Rais katika nafasi yake hiyo ya ukuu wa mkoa.
Gerson Msigwa Mkurugenze wa Mawasiliano ya Rais ameitolea maelezo kuwa taarifa hiyo siyo ya kweli na amewataka watanzania waipuuze, kwani imetengenezwa na watu wenye nia ovu.
Taarifa hii ipuuzeni— Gerson Msigwa (@MsigwaGerson) October 19, 2016
Imetengenezwa na wahalifu. pic.twitter.com/A3N7RcEu7v
*****************
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.