Unknown Unknown Author
Title: LULU LEO KAWEKA WAZI SUALA LA UJAUZITO WAKE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Staa wa Bongo Movie, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu amefunguka baadhi ya mambo ambayo watu wengi yawezekana wakawa hawayajui ikiwe...
Elizabeth Michael
Staa wa Bongo Movie, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu amefunguka baadhi ya mambo ambayo watu wengi yawezekana wakawa hawayajui ikiwepo kuhusu msanii wa muziki wa Marekani, Justin Bieber kutokana na muda mrefu kuaminika kuwa amekuwa akivutiwa na mwanamuziki huyo, wasanii anaowapenda, mwanasiasa ambaye anampenda nchini, masomo yake ya chuo na mengine mengi ambayo yanamzunguka.

Lulu ameelezea mambo hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter wakati akiulizwa maswali na mashabiki wake wakitaka kupata majibu kutoka kwake mwenyewe kuhusu maisha yake na mambo ambayo yanamzunguka.

Haya ni baadhi ya maswali ambayo aliandikiwa na mashabiki na majibu aliyokuwa akiwajibu;

Ask for lulu
Ask for lulu
Ask for lulu
Ask for lulu
Ask for lulu
Ask for lulu
Ask for lulu

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top