JACKLINE WOLPER ASHEREHEKEA BIRTHDAY YA MPENZI WAKE KWA NAMNA YA KIPEKEE, CHEKI VIDEO HII

Jana October 3 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya msanii wa Bongo Fleva aliye chini ya lebo ya WCB Harmonize.
Jacqueline Wolper
Mastaa wengi wali-muwish mkali huyo katika kurasa zao za mitandao ya kijamii lakini ilikuwa tofauti kwa mpenzi wake Jacqueline Wolper ambaye hakuona haja ya kupost picha na akaamua kuuonyeshea umma ni jinsi gani amejiandaa kumpokea mpenzi wake huyo katika siku yake hiyo muhimu ya kuzaliwa.

Sitaki kukunyima uhondo, nataka ushuhudie mwenyewe, ni vipi Wolper aliremba chumba chake tayari kabisa kwa kumpokea Harmonize.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post