BRAND NEW VIDEO MUSIC || SHILOLE FT MANFONGO - MTOTO MDOGO MDOGO || WATCH HERE

Ni zaidi ya wiki 8 zimepita sasa tangu ilipoachiwa Audio ya ngoma ya “Mtoto Mdogo Mdogo” ya mwanadada Shilole-Shishi Baby ambayo kafanya na mkali wa Singeli Man Fongo.
Shilole ft Man Fongo - Mtoto Mdogo Mdogo
Na ikafanya poa kiasi chake hadi kufanikiwa kuingia katika chati mbali mbali za muziki katika media tofauti tofauti.

Sasa Nakualika kuitazama Video ya wimbo huo ambayo imefanywa na Director wa hapa hapa Bongo Khalfani Khalmandro.

Bofya Play.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post