
Baada ya timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys kuifunga Congo Brazzaville katika hatua ya tatu kuwania kufuzu michuano ya Afrika, wachezaji nyota wa Tanzania wanaocheza soka la kulipwa nje wameipongeza timu hiyo.


Tags
SPORTS NEWS