KISIKILIZE HAPA KIONJO CHA REMIX YA "ALL THE WAY UP" ALIYOIFANYA DIAMOND PLATNUMZ

Bongo Fleva super staa Diamond Platnumz ametuonjesha kidogo ujio wa Remix yake ya wimbo wa Fat Joe na Remy Ma ‘All The Way Up‘ Ft French Montana.
Diamond Platnumz
Kwenye instagram yake Diamond kaandika huu ujumbe pamoja na hichi kionjo “ You know i Love being crazy Sometimes ???????????? #FoolingAround #AllTheWayUp #JINI #SIMBA #VAMPIRE Mendez tell those Mother*** ka! ”

Isikilize Hapa.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post