BRAND NEW VIDEO MUSIC || PSQUARE - BANK ALERT || WATCH HERE

P-Square
Baada ya kuvunjika kwa kundi la P-Square linaloundwa na ndugu wawili, Peter na Paul Okoye huku kila mtu akifanya kazi kivyake, hatimaye kundi hilo limerudi tena kwa wasanii hao kuachia video ya wimbo wao mpya "Bank Alert".

Tazama hapa chini video hiyo.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post