
Hapo nyuma kidogo kulikuwa na ukimya kati ya Wema Sepetu na Petit Man na mashabiki wakaanza kuvamia social network na kuandika vitu vingi wanavyovijua wao na wengine kuliita BEEF kati ya Wema na Petit.
Lakini usiku wa tarehe 16 Aug wawili hawa walionekana wakijirekodi video fupi na Wema akaiweka katika account yake ya SnapChat.
Baadae kulivyokucha Wema alionekana kupost video clip ile ile ya SnapChat kwenye Instagram yake na kuandika hivi
“Yes…! He has a piece of me… @officialpetitman_wakuachetz”

Tags
WATU MAARUFU