NYOTA WA YANGA SASA KUKIPIGA MBEYA CITY, ALAMBA KANDARASI YA MWAKA 1

Good news kwa mashabikiwa Mbeya City imetangazwa tena leo July 18 2016 kupitia ukurasa wake rasmi wa instagram, Mbeya City ambayo makazi yake ni jijini Mbeyaimetangaza kumsajili mchezaji wa Yanga aliyekuwa kwa mkopo katika klabu ya Stand United Rajab Zahir.
Mbeya City
Mbeya City imetangaza kumsajili Zahir ikiwa ni wiki kadhaa zimepita toka watangaze kumsajili Mohamed Mkopi kutoka Tanzania Prisons kwa mkataba wa mwaka mmoja.


Zahir ambaye ni beki wa kati amejiunga na Mbeya City kwa mkataba wa mwaka mmoja, baada ya kumaliza mkataba wake wa miaka mitatu na Yanga akiwa kwa mkopo Stand United.
A video posted by MbeyaCityFc (@officialmbeyacityfc) on

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post