Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) imetangaza matokeo ya kidato cha sita 2016, na Kuzitaja shule zilizo fanya vizuri zaidi Kitaifa na zile ambazo hazikufanya vizuri Kitaifa.
Ubora wa shule umepangwa kwa kutumia kigezo cha Wastani wa Pointi (Grade Point Average – GPA) ambapo A=1, B=2, C=3, D=4, E=5 na F=7.
Aidha, upangaji wa shule zilizofanya vizuri umezingatia shule zenye idadi ya watahiniwa wasiopungua 30 kama ifuatavyoa:
==>SHULE 10 BORA KITAIFA

- Kisimiri (Government)
- Feza Boys (Private)
- Mwanza Alliance Girls (Private)
- Feza Girls (Private)
- Tabora Boys (Government)
- Marian Boys (Private)
- Kibaha (Government)
- Mzumbe (Government)
- Ilboru (Government)
- Tandahimba (Private)
- Mpendae (Unguja)
- Ben bella ( Unguja)
- Tumekuja (Unguja)
- Green Bird Boys (Kilimanjaro)
- Jang'ombe (Unguja )
- Kiembe Samaki (Unguja )
- Tanzania Adventist ( Arusha )
- Al-Ihsan Girls ( Unguja )
- Azania (Dar es salaam )
- Lumumba (Unguja)
Matokeo ya Kidato cha Sita 2016....
Bofya hapo chini Kuyaangalia
( Form Six ) ==> BOFYA HAPA KUYAANGALIA>>
DSEE==>> Bofya Hapa
GATCE==> Bofya Hapa
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.