BRAND NEW VIDEO MUSIC || JOH MAKINI FT CHIDINMA - PERFECT COMBO || WATCH HERE
byNIJUZE-
0
Mwamba wa Kaskazini unaweza kumwita Joh Makini ameachia video ya wimbo wake mpya aliyo mshirikisha Msanii wa Kike kutoka Nigeria Chidinma wimbo unakwenda kwa jina "Perfect Combo" Itazame Hapa:
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...