Diamond Platnumz ameachia kolabo yake ya wimbo ‘Kidogo’ aliyowashirikisha wasanii wa kundi la P’square kutoka Nigeria.
Wimbo umeandaliwa na Laizer kutoka Wasafi Records na Video imeandaliwa na Godfather kutoka Afrika Kusini.
Fahari Ya Kusini
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.