VIDEO: RAILA ODINGA AONYESHA KUIPENDA ZIGO YA AY, MCHEKI HAPA AKIIPAFORM LIVE

Kiongozi wa upinzani wa nchini Kenya, Raila Odinga hajapitwa na wakati.

Raila Odinga
Odinga alionekana hivi karibuni kwenye mkutano wa chama chake, ODM akila kwa macho na ngoma ya AY, Zigo. Mcheck hapo chini.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post