TAZAMA MECHI YA MO BEJAIA Vs YANGA LIVE HAPA

live
Mtu wangu wa nguvu najua umesikia taarifa za kuwa mechi ya MO Bejaia dhidi ya Yanga haitaoneshwa katika vituo vya tv vya hapa nyumbani, lakini Lindiyetu.com imejaribu kutafuta link ya kukuwezesha kuangalia mechi hiyo live, mechi imeanza saa 00:15 kwa saa za Afrika Mashariki,

Hadi sasa ni Halftime na matokeo Yanga wako nyuma kwa Goli moja.
Kutazama live Bofya Play:

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post