INATIA HUZUNI KWA KWELI, MTAZAME MAMA HUYU ANAVYO MKATA MAKONDE KICHANGA HICHI BILA YA HURUMA (+VIDEO)

Ukatili
Katika hali yakustaajabisha Mama mmoja arekodiwa Video huku akiwa anamnyonyesha mwanawe, Tukio la simanzi katika Video hiyo ni pale mama Huyo anapo mpa adhabu mtoto huyo mchanga kwa kumnasa vibao takatifu mtoto huyo kisa tu amegoma Kunyonya. Je Ukatiri kwa Watoto hawa wadogo utaisha?

Siku za hivi karibuni tuliweza kuona House girl akiweza kumwadhibu mtoto tukadhani hiyo ilitokana na kutokuwa na Uchungu wa Mtoto huyo lakini imegundulika hali ni tofauti kabisa hii ni ishara kuwa akina mama siku hizi wamekosa Roho ya Huruma kabisa.

Hebu tazama Video hii hapa Chini inasikitisha kwa Kweli.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post