VIDEO: DIAMOND ALIWAHI KUFIKIRIA KUJIUA KISA KIKIWA HUYU DEMU

Diamond Platnumz ni mmoja kati ya mastar wakubwa wanaojulikana Afrika wakitokea hapa hapa kwetu Bongo.
Diamond Platnumz
Ukiacha mziki ambao umemfungulia milango na kumpa mkwanja alionao, Diamond Platnumz anafahamika kwa kula mademu wengi (mahusiano ya Kimapenzi) tu hapa Bongo huku asilimia kubwa wakiwa ni maarufu.

Lakini wanasema kila mjanja ana mjanja wake, Je wajua kua Diamond alishawahi kutaka kujiua kisa katoswa na demu???

Basi jibu ni ndio na Diamond kafunguka kupitia video hii hapa chini, mskilize.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post