Januari 17 mwaka huu Wanafasihi hapa nchi walikumbwa na msiba wa Mwandishi Nguli wa Vitabu Edwin Semzaba, aliyepata umaarufu mkubwa kupitia kitabu cha Tamthilia ya Ngowe Penzi Kitovu cha Uzembe iliyokuwa ikieleza kwa undani athari za kuchanganya mapenzi na kazi kwa wakati mmoja.
Kupitia Lindiyetu.com Linah mwenyewe amefunguka na kueleza ukweli wa mambo kama anavyosikika katika sauti hapo chini huku akipaza sauti kutaka management mpya itakayomfikisha mbali kutokana na uwezo wake kimuziki.

Kumekuwa na malalamiko kadha wa kadha kwa baadhi ya wasanii wa kike wa muziki na filamu za Kibongo kushindwa kufanya yao kwa kuonesha vipaji kutokana na kukithiri kwa vitendo vya rushwa ya ngono, suala hili limegeuka tishio kwa wasanii hawa ambapo mmoja wa wasanii aliyesema waziwazi ni Gigy Money ambaye aliahidiwa endapo atashiriki kufanya mapenzi na mmoja wa wasanii maafuru atamtoa na kumfanya maarufu.
Kumekuwa na stori zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zikidai kwamba Linah Sanga a.k.a ndege mnana ni moja kati ya wasanii waliokumbwa ya yale yaliyompata Ngoswe baada ya kuchanganya mapenzi na kazi katika Kampuni ya No Fake Zone ambayo alijiunga nayo akitokea Jumba la Kukuza Vipaji Tanzania (THT).
Kumekuwa na stori zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zikidai kwamba Linah Sanga a.k.a ndege mnana ni moja kati ya wasanii waliokumbwa ya yale yaliyompata Ngoswe baada ya kuchanganya mapenzi na kazi katika Kampuni ya No Fake Zone ambayo alijiunga nayo akitokea Jumba la Kukuza Vipaji Tanzania (THT).
Kupitia Lindiyetu.com Linah mwenyewe amefunguka na kueleza ukweli wa mambo kama anavyosikika katika sauti hapo chini huku akipaza sauti kutaka management mpya itakayomfikisha mbali kutokana na uwezo wake kimuziki.
Tags
HABARI ZA WASANII