TANZIA:: MBUNGE VITI MAALUM (CHADEMA) MH. CHRISTINA LISSU MUGHWAI AFARIKI DUNIA

Christina Lissu Mughwai
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Mhe. Christina Lissu Mughwai (ambaye ni dada wa Tundu Lissu) amefariki dunia Leo katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam. 
Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya saratani tangu mwaka jana, na alikuwa mbunge katika bunge la 10.
Previous Post Next Post