
Shughuli za uokoaji.

Jengo kabla na baada ya kuporomoka.

Wananchi wakitaharuki eneo la tukio.

Kwa mbali ni vumbi kali eneo la tukio.
Wanafunzi wa Chuo cha Makerere waliongea na EagleOnline kuwa, tukio hilo lilitokea jana Jumatatu April 11 mchana ambapo Jengo hilo la Kyaseka Towers lililopo barabara ya Makerere Hill karibu kabisa na chuo hicho liliporomoka baada ya kuzidiwa urefu kwa kuwa mmiliki wake aliamua kuongeza floor nyingine juu bila kibali kutoka mamlaka za ujenzi.
Tags
HABARI KIMATAIFA