Aliyekuwa mume na pia meneja wa Lady Jaydee, Gardner G Habash ametoa mtazamo wake juu ya wimbo mpya wa msanii huyo ‘Ndi Ndi Ndi’ kutokana na tetesi kuwa ni fumbo kwake.
Akiongea na ENewz ya Eatv.tv Gardner alisema:
"Si ajabu mtu kuamua kutomzungumzia mtu na sidhani kama watu watashangaa maana hata mlima Kilimanjaro watu wanaushangaa. Labda naweza tu nikasema ni msanii mzuri nimechagua tu kutomzungumzia mtu na mtu ukiamua kutomzungumzia siyo lazima pawe na tatizo na sioni kama kuna faida sana ya kumzungungumzia mtu. Mimi naona tuendelee mbele sasa hivi na kuumia kwa binadamu kupo kwakuwa tuna mioyo".

Tags
WATU MAARUFU