
Baada ya video hiyo kusambaza na kuanza kuchukua headlines ikiashiria Babu Tale amejitosa kumsaidia rapper huyo, rapper Young Dee aliandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram na kusema "Nimeona hii post nikajiuliza! Kwa hali Kama hii sio mwanzo mzuri kama ni mwanzo wa kumsaidia chidi.. Haonekani vizuri"– Young Dee
"Challenge kwako blaza hii ni aibu sidhani Kama kuna die hard fan wa ukweli wa chidi Kama ataipenda hii Au ata Kama ni kweli una mpango wa kumsaidia kama manager bora Afrika..! Nimeiona hii nmeshtuka tale! Babu Tale umeniangusha Kwa hili.. Starting to heal but kill the best rapper mbele ya macho ya watanzania" – Young Dee
Tags
HABARI ZA WASANII