WALIOKIKIMBIA CHAMA CHA MAPINDUZI WAANZA KUREJEA...LEO HII BALOZI MWAPACHU ARUDI CCM

Balozi Juma Mwapachu
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu akipokea Kadi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mikocheni,Jijini Dar es salaam jioni hii, baada ya kutangaza kurejea kwenye Chama chake hicho cha awali alichokihama mwishoni mwa mwaka jana.
Previous Post Next Post