Baada ya wimbo wa Mama Kijacho wa mwanamuziki Tunda Man kufanya vizuri kwenye Industry ya muziki, Msanii huyo ameamua kuingia kambini kwaajili ya kuandaa filamu ya movie hiyo.

KAPTAINI Tunda Man amebadilisha muonekano wake kwa ajili ya Movie ya Mama kijacho, huku akiachia ndevu kama Rick Rose na leo siku ya Jumatano ndiyo wamemaliza kushoot na walikuwa kambini kwa wiki 1 hivi kukamilisha movie hiyo ambayo kwenye muvi hiyo imemhusisha msanii mrembo wa Bongo Movie Riyama Ally pamoja na Comediani Mboto.
Pia Tunda Man alishawai kuulizwa na 'don' mmoja hivi hapa bongo kuwa anataka anunuliwe nini na akajibu anataka BASTOLA na ndiyo ile unaiona alikuwa anavimba nayo.
Pia Tunda Man alishawai kuulizwa na 'don' mmoja hivi hapa bongo kuwa anataka anunuliwe nini na akajibu anataka BASTOLA na ndiyo ile unaiona alikuwa anavimba nayo.
Tags
HABARI ZA WASANII