THOMAS MASHALI ACHEZEA K.O NA MRUSI APTI USTARKHANOV, TAZAMA VIDEO

Bondia wa Tanzania, Thomas Mashali amepigwa kwa knockout kwenye raundi ya pili na bondia wa Urusi, Apti Ustarkhanov aka The Tiger.
Apti "The Tiger Ustarkhanov vs Thomas Mashali
Pambano hilo lililohudhuriwa na umati mkubwa wa watu lilifanyika wikiendi iliyoisha nchini Urusi. Lilikuwa ni pambano la ubingwa uzito wa kati wa mabara.

Lilifanyika Colosseum Sport Hall, mjini Grozny, Urusi.
Previous Post Next Post