TAZAMA VIDEO WAKATI WA UHAKIKI WA SILAHA ANAZOMILIKI MH. RAIS DKT MAGUFULI NA AMESEMA KUHUSU UMEYA WA JIJI
byNIJUZE-
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiiweka silaha yake vizuri mara baada ya kuhakikiwa Ikulu jijini Dar es Salaam.