TAZAMA JINSI WAZIRI MKUU ALIVYOWAPONGEZA LULU NA RICHIE KWA KUSHINDA TUZO HUKO NCHINI NIGERIA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Wasanii wa filamu Elizabeth Michael na Single Mtambalike baada ya kupokea tuzo za wasanii hao walizoshinda nchini Nigeria. Tukio hilo lilifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 11, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Tuzo kutoka kwa Msanii wa filamu Elizabeth Michael ambayo msanii huyo alishinda nchini Nigearia. Tukio hilo lilifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 11, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akipokea tuzo kutoka kwa msanii wa filamu, Single Mtambalike ambayo msanii huyo alishinda nchini Nigeria. Tukio hilo lilifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 11, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea tuzo za wasanii wa filamu nchini walizoshinda nchini Nigeria. Wasanii hao ni Elizabeth Michael na Single Mtambalike. Shughuli hiyo ilifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 11, 2016.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


***********************
JE ULIMIS KUTAZAMA VIDEO:: ZIARA YA KUSHTUKIZA B OT YA RAIS MAGUFULI || LINDIYETU TV
Previous Post Next Post