MIZUKA KUNAKO CLUB...!! CHEKI VIDEO HII AMBAYO INAONESHA MIZUKA YA MASHABIKI WA NAVY KENZO CLUB 71
byNIJUZE-
0
Navy Kenzo ni kundi la wakali wa bongofleva linaloundwa na wawili ambao ni Aika na Nahreel, hii video ni ya show yao Club 71 Tegeta Dar es salaam ambapo wapo kwenye mzunguko wa Tour ya kuitambulisha single yao mpya ‘kamatia’ unaweza kutazama video ya show yao hapa chini…