
Katika kikao hicho Mwenyekiti wa Chama cha Chadema ameweza kugusia jinsi Majipu yanavyotumbuliwa na Serikali ya Rais Magufuli, amesema ni kweli wapo ambao wanamakosa hayo lakini kunawengine wanatumbuliwa kwakuwa tu wanahisiwa au wanaonekana wana uchadema.
Pia Mbowe amebainisha kuwa nivyema watumbuaji wakaeleza jamii ni nini watumbuliwaji wamefanya makosa yapi na hatua stahiki za kisheria zikachukuliwa juu yao.
Unaweza Tazama Video hii hapa Chini:
Tags
HABARI ZA KITAIFA