Mwasiti ametoa ya moyoni alipokuwa akizungumza na kituo kimoja cha televisheni hapa nchini kuhusiana na mwonekano wake kwa sasa kuonekana anavutia zaidi tofauti na siku za nyuma.

''Muonekano wangu kwa sasa nina mapenzi ambayo ni salama japo siwezi kumtaja kwa sasa kwa sababu bado ni mapya ila nina faraja sana''
Pamoja na hayo Mwasiti amesema kwamba aina za vyakula kama ugali na dagaa na kupumzika sana vinachangia pia muonekano wake huo.
Pamoja na hayo Mwasiti amesema kwamba aina za vyakula kama ugali na dagaa na kupumzika sana vinachangia pia muonekano wake huo.
Tags
HABARI ZA WASANII