HALI YA CHIDI BENZI YAMGUSA NUHU, ASEMA HAYA KWA UCHUNGU

nuh mziwanda
KUPITIA INSTAGRAM YAKE NUHU AMEANDIKA HAYA KUHUSU HALI CHIDI BENZI
"Tungekua tunamsaport kipindi anaachia ngoma na kushare cover zake kama mnavoshare picha ya brother kipindi hayupo sawa ingekua Mali kweli.

Ila waTanzania wanajuaga umuhim wa mtu kipindi tayari yupo Matatizoni’ Watu tunaotumia Mitandao tujifunze kuitumia vizuri kusaport wasanii wetu kipindi tayari wana nguvu zao’ 

CHID kaachia ngoma nyingi hapa kati lakini hakukua na fujo kama hii ya kusambaza Picha mbovu.

Salute sana wasanii wote waliokua bega kwa bega kumpa kampani Chid ‘kwa yoyote alienpost chid ile picha kama una huruma futa na share picha nzuri na usema Chid is back 

‘itampa Moyo na atajiona still yupo sawa na ajue bado anahitajika na Mashabiki zake #ILaLa"
Previous Post Next Post