
Daraja jipya la kuvusha watu na Magari kwa wakazi wa Kigamboni na Upande wa pili umekamilika kwa asilimia 99 Hivi sasa.
Daraja hilo ambalo limejengwa katika eneo la Kurasini Dar es salaam limeonekana likiwa katika Hatua za mwisho ambapo Lindiyetu.com na LindiyetuTV ilishuhudia wakati ilipotembelea..
Inasemekana zimebakia siku chache kwa Daraja hilo kukabidhiwa rasmi kwa Serikali ili wananchi wa eneo hilo waweze kuanza kulitumia na kupunguza adha wanayokabiliana nayo hivi sasa.



Tags
HABARI ZA KITAIFA