HII HAPA TAARIFA MPYA INAYOMUHUSU KIPA NAMBA MOJA WA ARSENAL

Petr Cech
Petr Cech huenda akapewa unahodha wa Arsenal, iwapo nahodha wa sasa kiungo Mikel Arteta ataondoka mwisho wa msimu. 

Cech ana uwezo wa kuzungumza lugha tano, na bila shaka hilo limempendeza meneja Arsene Wenger. 

Cech anazungumza - Kiingereza, Kispanish, Kijerumani, Kifaransa na Ki-CzechHii ni kwa mujibu wa gazeti la Daily Mail.
Previous Post Next Post