Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika wa Wachezaji wa Ndani 2015, Mbwana Samata akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam akitokea Abuja, Nigeria katika hafla ya utoaji tuzo kwa mwanamichezo bora.
(Picha na Francis Dande)
Mchezaji Boara wa Afrika, Mbwana Samata akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam akitokea Abuja, Nigeria. Kulia ni mzee Ali Samataakimlaki mtoto wake.
Mbwana akiwapungia mkono mashabiki waliofika uwanja wa Ndege kumpokea.
Mbwana akifurahia tuzo yake.
Waandishi wa habari wakifanya mahojiano.
Mashabiki waliokuja kumpokea wakicheza kwa furaha.
Ngoma za kila aina zilikuwepo Uwanja wa Ndege wakati wa mapokezi ya Samata.
Mzee Ali Samata(Mwenye Tai Nyekundu) akifurahia tuzo aliyopata mtoto wake.
Vikundi mbalimbali vikitumbuiza.
Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mapokezi ya Mchezji Bora wa Afrika, Mbwana Samata.
Tags
HABARI ZA KITAIFA