SHETTA ASEMA HAYA BAADA YA OMMY DIMPOZ KUNAKILI VIONJO VYA VIDEO YA SHIKOLOBO KWENYE ACHIA BODY

Ommy Dimpoz
Baada ya msanii mahiri nchini Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz kuachia ngoma yake ya Achia Body, kumezuka majadiliano makubwa kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wakisema kuwa msanii Ommy Dimpoz amenakili (Copy) baadhi ya vitu kwenye video ya Shikorobo.
Sheta
Akizungumzia suala hilo Sheta amesema kuwa ni kweli kuwa kuna baadhi ya vitu vinafanana, lakini yeye haoni kama kuna ubaya wowote kwasababu ni vyema kuiga vya ndani kuliko vya nje.
Previous Post Next Post