HABARI ZA HIVI PUNDE:: UKAWA WASHINDA KITI CHA UMEYA MANISPAA YA KINONDONI, ILALA ZOEZI LAENDELEA

UKAWA
Vyama vinavyounda UKAWA vimeibuka na ushindi katika uchaguzi wa Umeya wa Manispaa ya Kinondoni baada ya kupata kura 38 dhidi ya CCM waliopata kura 20.
Boniface Jacob
Meya mpya ni Boniface Jacob. Manispaa ya Ilala zoezi bado linaendelea
Previous Post Next Post