Huko nchini Eritrea, serikali imetoa tangazo kuwa, LAZIMA KILA MWANAUME, AOE MKE WA PILI.
Hali hii imejitokeza baada ya kuwa na upungufu wa wanaume, kulikosababishwa na wengi kufia vitani wakati wa vita kati ya nchi hiyo na Ethiopia.
Serikali imetoa tangazo kwa Lugha ya Kiarabu, na kwa mujibu wa Tangazo hilo mwanaume atakayepuuzia agizo hilo, “atahukumiwa kwenda jela, pamoja na kazi ngumu”.
Na mwanamke atakayefanya juhudi zozote kumzuia mwanaume wake asioe mke wa pili, adhabu yake ni “kifungo cha maisha gerezani”, ili akose mume kabisa, ajue uchungu wa mwanamke mwenzie kuishi bila mwanaume.
Serikali imetoa tangazo kwa Lugha ya Kiarabu, na kwa mujibu wa Tangazo hilo mwanaume atakayepuuzia agizo hilo, “atahukumiwa kwenda jela, pamoja na kazi ngumu”.