HUTUBA:: RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ALIPOWAHUTUBIA VIONGOZI WA UMOJA WA SEKTA BINAFSI NCHINI - TPSF

Jpm
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Viongozi na Wawakilishi wa Umoja wa Sekta Binafsi nchini (Tanzania Private Sector Foundation - TPSF) katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 3, 2015
Jpm Ikulu 
PICHA NA IKULU
Previous Post Next Post