Kundi la watu wasiojulikana wenye silaha usiku wa kuamkia leo wameivamia na kuiteketeza kwa moto studio ya kurushia matangazo ya kituo cha radio cha kibinafsi cha Hits FM kilichopo eneo la Migombani, jimbo la Kikwajuni visiwani Zanzibar.
Endelea kuwa nasi kwa habari zaidi......