BREAKING NEWS:: GARI LA ZIMA MOTO MKOANI LINDI LAPATA AJALI ENO LA MTANDA-LINDI

Gari la Zimamoto
Gari la Zimamoto mali ya Halmashauri ya Manispaa ya Mji wa Lindi imepata ajali katika eneo la Mtanda Lindi Mjini mapema leo Mchana, Habari zilizotufikia Lindiyetu.com ni kwamba gari hilo lilikuwa na Maji ambayo yalikuwa yanapelekwa kwa mkubwa wa serikali (Chanzo hakikutaja jina ni nani). Na hadi sasa chanzo cha Ajali hiyo hakijajulikana. Endelea kuwa nasi tutakujuaza.
Gari la Zimamoto
Previous Post Next Post