WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU, MKOANI KIGOMA

Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa zawadi ya khanga,blanket na ndoo kwenye wodi ya wazazi katika zahanati iliyopo kwenye kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu kwa Mama mkimbizi kutoka nchi ya Burundi aliyejifungua.
Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwajulia hali akina mama waliolazwa katika zahanati iliyopo ndani ya kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu Mkoani Kigoma wanaotoka nchi ya Kidemokrasia ya Congo.
Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea na wakimbizi wa Congo na Burundi katika kambi ua Nyarugusu.
wakimbizi
Baadhi wa wakimbizi kutoka nchi ya Congo na Burundi waishio katika Kambi ya wakimbizi Nyalugusu Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (hayupo pichani) akiwahutubia.
wakimbizi
Picha na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma.
Previous Post Next Post