Baada ya Shilole kumkejeli Snura kwa kudai sio hadhi yake na asifananishwe naye, Snura amejibu mapigo.
Akizungumza katika kipindi kimoja cha TV kinachoruka hewani maramoja kwa juma, Snura alisema ameshamzoea Shilole ni mtu wa kubwatuka.
“Ni yeye ndio amezungumza sio mashabiki. Kama wangeongea mashabiki kweli lingenigusa na kunifanya nijiangalie tena kwa mara mbili au mara tatu lakini yeye kama yeye ndio kaongea,” alisema.
“Lakini yeye ni mtu wa kubwatuka hovyo kwenye interview na kuponda. Ile ni dalili kwamba anaona kuna vitu fulani ambavyo namzidi.”