PINI JIPYA KUTOKA KWA NAY WA MITEGO "NYUMBANI KWETU" NIMEKUWEKEA HAPA WAWEZA LIPAKUA

Mkito.com inakuletea exclusive kutoka kwa Mr Nay Wamitego. Wimbo unaitwa NYUMBANI KWETU.
Mr Nay Wamitego - Nyumbani Kwetu
Hizi ni ladha na style mpya ukiangalia muziki ambao tumezoea kumsikia Nay akiwa anafanya. Lakini kipaji kinamruhusu kufanya vitu vya tofauti na basi ni wajibu wake kisanaa kufanya vitu tofauti. Pakua hili pini hapa:
Previous Post Next Post