NIJUZE NIJUZE Author
Title: KIJANA AFARIKI BAADA YA KUFUMANIWA AKIFANYA MAPENZI NA NGURUWE, MKASA MZIMA HUU HAPA
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Mwili wa marehemu muda mchache baada ya kupoteza maisha Na. Mwandishi Wetu, LUDEWA Kijana mmoja aitwaye Simon Dustan Mwanjavala maaru...
Simon Dustan Mwanjavala
Mwili wa marehemu muda mchache baada ya kupoteza maisha

Na. Mwandishi Wetu, LUDEWA
Kijana mmoja aitwaye Simon Dustan Mwanjavala maarufu kama Mwachakala (15) mkazi wa kijiji cha Mbwila kata ya Luana wilaya ya Ludewa mkoani Njombe amefariki dunia muda mchache baada ya kukutwa akifanya mapenzi na Nguruwe

Tukio hilo la kustaajabisha limetokea leo wilayani Ludewa baada ya kijana huyo "kufumaniwa" akifanya mapenzi na mnyama huyo, ndipo walipomkamata na kumfunga kamba mikono yake na miguu ili asikimbie

Baada ya majirani kumuona kijana huyo akimbaka nguruwe huyo kwenye banda la mnyama huyo walikwenda kumwambia baba yake mdogo ambao kwa pamoja walimkamata kijana huyo, ambaye alikiri kufanya kosa hilo

Alipoulizwa sababu zilizomfanya kufanya mapenzi na nguruwe, amesema alikuwa na hamu ya kufanya tendo hilo

Kutokana na kitendo hicho waliamua kumvua nguo zote na kumfunga kamba na kumuacha kwa muda kwenye eneo la tukio, na walipokuja kumfungua kamba na mwenyekiti wa kijiji hicho, alidondoka na kufariki dunia papo hapo

Haijafahamika mara moja ni sababu gani zilizomfanya aweze kupoteza maisha ingawa habari zisizorasmi zinadai kuwa amefariki kutokana na mshtuko ulioambatana na aibu kutokana na kitendo alichokifanya kujulikana na watu.

Kijana
Kijana huyo akiwa amefungwa mikono na miguu baada ya kukamatwa akifanya mapenzi na nguruwe
Nguruwe
Nguruwe aliyefanyiwa kitendo hicho

About Author

Advertisement

 
Top