Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe akifatana na aliyekuwa mgombea Urais wa chama hicho Mhe. Edward Lowassa pamoja na viongozi mbalimbali wakitazama eneo ambalo Alphonce Mawazo alikutwa na Mauti ambapo mwili wake ulikutwa umekatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana ikiwa ni umbali mchache kutoka kutuo cha polisi na ofisi za CCM katika barabara kuu inayoelekea Geita kutokea Busanda.
Home
»
HABARI ZA KITAIFA
» PICHA:: LOWASA NA MBOWE WADHURU ENEO AMBALO MAUTI YALIMFIKA MWENYEKITI WA CHADEMA GEITA, ALPHONCE MAWAZO
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.