JOHN POMBE MAGUFULI KWA MARA YA KWANZA KWENYE MSAFARA KAMA RAIS WA TANZANIA CHEKI PICHA

Rais wa Tanzania Magufuli
Mara baada ya Kumaliza shughuli za Kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Tano Ndg John Pombe Magufuli aliingia Uwanjani kama Waziri wa Ujenzi na Kutoka na Msafara Kama Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mara baada ya Rais wa awamu ya nne kumkabidhi wadhifahuo katika uwanja wa zamani wa Taifa jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Tanzania Magufuli
Rais wa Tanzania Magufuli
Previous Post Next Post