NIJUZE NIJUZE Author
Title: JE WAJUA? UGANDA NDIO NCHI INAYOONGOZA KATIKA NCHI ZINAZORIDHIKA ZAIDI KIMAPENZI, TANZANIA HAIMO
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Uganda imeongoza orodha ya nchi duniani ambazo wananchi wake wanaridhika zaidi kimapenzi. Utafiti huo ulifanywa na kampuni inayotengene...
Uganda imeongoza orodha ya nchi duniani ambazo wananchi wake wanaridhika zaidi kimapenzi.
Kissing
Utafiti huo ulifanywa na kampuni inayotengeneza condom, Durex na kuhusisha watu 26,000 kuanzia miaka 16 katika nchi 26.

Katika utafiti huo walibaini kuwa ni watu 44 pekee ndio wanaoridhika na maisha yao ya mapenzi. Uganda, Switzerland na Hispania ndio zimeongoza orodha ya watu wanaoridhika zaidi kimapenzi.

Utafiti huo ulibaini kuwa waganda 5 kati ya 10 hushiriki tendo hilo walau kwa saa moja kila wiki. Hii ilionekana kuwa ni juu zaidi kwa watu kushiriki tendo hilo duniani.

Tanzania haipo kwenye orodha hiyo.

Hii ni orodha nzima:

  1. Uganda
  2. Switzerland
  3. Hispania
  4. Italia
  5. Brazil
  6. Ugiriki
  7. Uholanzi
  8. Mexico
  9. India
  10. Australia
  11. Ujerumani
  12. China

About Author

Advertisement

 
Top