NIJUZE NIJUZE Author
Title: WEMA SEPETU AAMUA KUWACHAFUA VIONGOZI HAWA KUPITIA INSTAGRAM
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Mwana Dada Mlimbwende wa Bongo Muvi kwa jina Wema Issack Sepetu ametumia akaunti yake ya Instagram kufikisha Ujumbe kwa Watanzania kwa nj...
Wema Issack Sepetu
Mwana Dada Mlimbwende wa Bongo Muvi kwa jina Wema Issack Sepetu ametumia akaunti yake ya Instagram kufikisha Ujumbe kwa Watanzania kwa njia ya picha ambayo ina maelezo matatu.

Nisinge penda Kuongeza neno au kupunguza neno katika Posti hiyo Hivyo nimekuwekea hapa Uisome mwenyewe na kuniambia Je hii ni Sawa kwa yeye kuipost hivi au Hakuna Tatizo?
WEMA

About Author

Advertisement

 
Top